Leo July 7, 2018 nakusogezea story toka mkoani Kigoma, ambapo kuna Ziwa Tanganyika na wavuvi wengi hufanya shughuli zao za uvuvi wa Samaki aina ya Migebuka na Dagaa.
Baruhani Mrisho Juma ni Kijana ambaye alikuwa mvuvi aliacha kazi hiyo kutokana na mikasa iliyomtokea akiwa katika shughuli za uvuvi na moja ya mkasa uliyomtokea hadi kuchukua uamuzi wa kuacha ni kupotea katika Ziwa kwa siku tatu na kutojua uelekeo wa kurudi nyumbani kitu ambacho kinamfanya kutokisahau katika maisha yake yote.
Bamdogo wa Patrick afunguka yote “Mwili ulipo, Muna kufanyiwa maombi”