Jaji Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma amezungumzia utaratibu wa jinsi walivyomuaga Jaji Mstaafu Othuman Chande pamoja na kubainisha kwamba Mtetezi wa Kwanza wa Haki za Binadamu ni mtu mwenyewe.
WALIOKAMATWA NA MBWA WAKITOROSHA MADINI YA BILIONI KASORO WAFIKISHWA MAHAKAMANI