Leo October 24, 2018 Kutana na Mzee Peter Parasai mwenye miaka 62 anayeishi Ngorongoro ambaye anakwambia alianzisha shule yake ikiwa na wanafunzi 70 na kuwafundisha peke yake ambapo kwa kipindi hicho alikuwa na elimu yashule ya msingi.
Mzee peter anasema miongoni mwa watu aliowafundisha hadi sasa wengine wana vyeo mbalimbali ikiwemo nafasi ya Udiwani na mwingine ni kiongozi katika shule mkoani Kilimanjaro.