Unaweza sema ni vituko ila hapana ni maamuzi ya Mtu binafsi kuamua ni jinsi gani asheherekee Harusi yake kama huyu alivyoamua kutumia Bajaji kama usafiri.
Ni Emmanuel na Odetha wao wameamua kuuchagua usafiri wa bajiaji kusafiria kutoka Kanisani mpaka ukumbini, Bwana harusi amesema alichopenda ni kwamba akiwa kwenye bajaji drone ikirushwa anaonekana vizuri.
Watumishi waliotaka Milioni 10 wakumbana na mkono wa TAKUKURU