Mbunge wa Mtama Nape Nnauye ameandika katika ukurasa wake wa Twitter asubuhi ya leo August 31, 2018 “Barabara inapokua na shida, usikate tamaa na kuacha safari. Badili viatu na kusonga mbele!”
Alichoandika Nape wengi hawajafahamu ana maanisha nini? ila aliambatanisha na picha yenye maneno ya kizungu ambayo yeye aliyatafsiri katika caption.
Barabara inapokua na shida, usikate tamaa na kuacha safari. Badili viatu na kusonga mbele! pic.twitter.com/IiHYJwqDDD
— Nape Moses Nnauye (@Nnauye_Nape) August 31, 2018