Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Prof. Humphrey P.B. Moshi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Tume ya Ushindani nchini (The Fair Competition Commission – FCC).
Prof. Moshi ni Mhadhiri Mstaafu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Uteuzi wa Prof. Moshi unaanza leo tarehe 30 Oktoba, 2018.
LIVE MAGAZETI: Barua za madudu TRA zavuja, SAKATA LA TRIL. 1.5: BOT, CAG kikaangoni