Mwili wa kijana Samweli Mhina ambaye alizama katika Ziwa dogo la Momela Wilayani Arumeru Mkoani Arusha kufuatia kimbunga kilichokuwa na upepo mkali umeopolewa baada ya jitahada zilizofanywa na Vikosi vya Zimamoto na Uokoaji na Wazamiaji kutoka DSM.
Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Jerry Muro amesema Mtalii mwingine aliyejiokoa kwa kuogelea anaendelea vizuri huku akitoa pole kwa familia ambayo imepata msiba huo
Maamuzi ya JPM kwa wanafunzi waliopigwa mabomu wakidai Million 76