Mzee Omary Katwe mwenye miaka 70, Mkazi wa Kijiji cha Muhange kilichopo mpakani mwa Burundi na Tanzania Mkoani Kigoma, ameomba kufahamishwa taratibu za Kisheria za kuoa Mwanamke kutoka Nchi jirani ya Burundi ili aweze kuzifuata hatua hizo na yeye aweze kujipatia Mke kutokea Burundi.
“Kama nina uwezo wa kukahudumia kwanini nisichukue kadogokadogo, kuna Vijana lakini bado wanakula vidonge vya kuongeza nguvu lakini sisi Wazee hatutumii sasa kwanini nihofie” Mzee Omary
ROBERT MUGABE MAPENZINI NA SALLY KABLA YA GRACE MUGABE, MKE WA KWANZA