Leo November 29, 2018 Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam Lazaro Mambosasa amesema wamewaua Majambazi 6 wakiwemo waliokuwa na silaha mbalimbali ikiwemo mabomu ya kutupa kwa mkono, risasi 217.
“Wahusika hawa walijipanga kufanya uhalifu mkubwa wa kuvamia Benki za hapa Mjini katikati, tulipata pia taarifa kuwa kuna wahalifu wazoefu ambao ni Waajiriwa wa Burundi ambao wana mafunzo ya Ukomandoo” Mambosasa
WHC IMETANGAZA KODI YAKO INATUMIKA KUNUNUA NYUMBA WALIYOKUPANGISHA, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA
POLISI WALIVYOWADHIBITI WANACHAMA WA CHADEMA MAHAKAMA KUU, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA