Leo November 6, 2018 RC Paul Makonda amekaa wenye interview na AyoTV na millardayo.com na kueleza kwanini alionekana akilia kwenye ibada “kulia kwangu hakutokani na namna mnavyofikiri, nimeenda Kanisani kuomba toba kwa niaba ya WanaDSM”