Wafanyakazi watano wa Azam Media ni miongoni mwa watu saba waliofariki kwenye ajali ya gari iliyotokea katika eneo la Malendi Mkoani Singida.
Wafanyakazi wengine wawili wapo mahututi huku mmoja hali yake si mbaya.
Ajali hiyo imetokea wakiwa njiani kuelekea Chato kwa ajili ya kwenda kuonesha matangazo ya moja kwa moja ya uzinduzi wa hifadhi ya Burigi.
MBELE YA DC BABA ASHTAKI WANATAKA NIFE WACHUKUE MASHAMBA