Leo May 25, 2018 Mahakama Kuu Kanda ya Arusha inatarajia kusikiliza rufaa ya watuhumiwa wa 7 kati ya 25 wanaokabiliwa na makosa ya ugaidi waliohukumiwa kifungo cha miezi sita jela kwa kosa la kuidharau mahakama mnamo Augusti 10 mwaka huu.