Mbunge wa Shinyanga mjini na Makamu wa Rais wa Bunge la Afrika (PAP) Stephen Masele, ‘ametinga’ Bungeni Jijini Dodoma hii leo, kutii wito wa Spika Job Ndugai aliyemtaka kufika siku ya Jumatatu kujibu tuhuma zinazomkabili.