February 1, 2018 mkutano wa kumi wa Bunge umeendelea ambapo moja ya maswali mengi yaliyoulizwa na wabunge ni kuhoji serikali kuhusu hatua gani zinachukuliwa kwa baadhi ya wanaume wakiwemo wabunge wanaotelekeza watoto wao na kusababisha waishi katika mazingira magumu.
‘Ni kosa kufungisha Ndoa kama Haujasajiliwa’ Jane Barongo