Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na Mbunge wa Tarime Mjini, Esther Matiko wamerudishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa ajili ya kusikiliza kesi yao ya uchochezi inayowakabili na Viongozi nane wa chama hicho.