Pedal Pursuit Training Race zimeendelea tena jijini Dar es Salaam kwa Jumapili hii kuwakutanisha waendesha baiskeli kutoka sehemu mbalimbali ikiwemo Kenya.
Mbio hizo za mazoezi za baiskeli ambazo uendeshwa kwa umbali wa 50 KM ni kwa ajili ya kujengea uwezo waendesha baiskeli na kukuza mchezo huo nchini.
Tazam video chini ya Washindi