Chuo cha Tiba ya miguu nchini Uingereza kinasema hivi karibuni kumekuwa na ongezeko la maambukizi ya maradhi yanayosababishwa na kuvu kutokana na kuvuma kwa mtindo wa kuvalia viatu bila soksi, hasa miongoni mwa vijana.
Kutovalia soksi siku hizi umekuwa mtindo maarufu wa mavazi, AyoTV na millardayo.com imemtafuta Daktari kutoka hospitali ya Taifa ya Muhimbili Dr. Heri Tungaraza kutupa elimu ya kiafya zaidi kuhusu magonjwa na athari tutakazopata kwa kuto kuvaa soksi.
Hatimae Mwakasege azungumzia kifo cha Mtoto wake baada ya siku 4