Leo July 24, 2018 Waziri wa Mambo ya Ndani Kangi Lugola amesema atahakikisha anawachukulia hatua wale ambao hawamuelewi Rais Magufuli nakusema kuwa wale ambao watakuwa na mawazo ya kuchochea wananchi na rais atawakamata na kuwachukulia hatua.
Lugola ametoa kauli hiyo alipokutana na wadau wa utalii katika ziara yake ya kikazi mkoani Arusha.