Leo September 12, 2018 Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imekanusha taarifa iliyosambaa kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii zikidai Benki Kuu imechapisha noti zenye thamni ya Trilioni 1.5 kwa ajili ya matumizi ya serikali.
Benki Kuu imesema taarifa hiyo sio sahihi na inalenga kuathiri imani ya Wananchi na wadau wa kimataifa kuhusu udhibiti wa fedha za Tanzania. Benki Kuu inaonya kuwa utoaji wa taarifa potofu unaathari kubwa kichumi.
LIVE MAGAZETI: ‘Ujasusi’ wa Lissu watua CIA, CHADEMA wamtaka Maalim, Mwamunyange atema cheche