Ujiji ni kati ya Miji ya kale zaidi Tanzania, leo AyoTV na millardayo.com imetembelea katika Mji huo ulioko Mkoani Kigoma baada ya kusikia sifa zake mbalimbali mojawapo ni kutokuwepo kwa nyumba za kulala wageni na bar.
LIVE MAGAZETI: Musukuma Kortini, Adakwa na sehemu za siri za Binadamu tano, Rushwa ya ngono