Waziri wa Katiba na Sheria, Balozi Augustine Mahiga amesema kompyuta zilizoibiwa ni za ofisi ya mashtaka mkoa wa Dar na sio ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) nchini Tanzania, Biswalo Mganga
“Ofisi ambayo ilivunjwa na vipande vya Kompyuta kuchukuliwa ni ya Mkoa wa DSM, Ofisi ya Mkurugenzi Mkuu anayeshugulikia mashitaka ya Serikali haikuguswa, nyaraka zote zipo, taarifa zote zipo na kazi zake zinaendelea”– Balozi Dk. Mahiga,Waziri wa Katiba na Sheria
“MMECHAPWA NA RC NA MMERUDI HATUTAKI TUKUKUTE NA KOSA LOLOTE, TUTAKUFUZA” DC