Afisa Madini Mirerani amewataka watu 25 kufika Ofisini kwake Jumatatu kwa kusadikika kuwa na Madini gafi nyumbani huku akitoa msisitizo “hakuna atakayesalimika na watakaoshindwa kufika watakuwa wamestaafu kuuza Tanzanite, watakapofika ntataja idadi ya tani za madini zilizofichwa ndani.