Leo November 28, 2018 Viongozi mbalimbali wa Vyama vya Kisiasa ikiwemo CUF, ACT Wazalendo ikiwakilishwa na Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe, Waziri Mkuu Mstaafu Fredrick Sumaye wamefika katika Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya DSM kwa ajili ya kufatilia mwenendo wa Rufaa ya Viongozi wa CHADEMA.
WAZIRI WA KAZI NA AJIRA AMESEMA SIO LAZIMA KUAJIRIWA, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA