Leo September 27, 2018 Nakusogezea stori kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Albert Chalamila ambapo amefanya ziara ya kukagua miradi ya maji katika wilaya za Mkoa wake ambapo amebaini uwepo wa miradi ambayo haijakamilishwa katika kiwango cha kuridhisha.
RC Chalamila “Nimeenda kwenye intake ya maji nakiri kusema mradi ule umetengenezwa kihuni, maagizo ya kwanza RAS naunda Tume watu waje wanichunguzie na nipate taarifa ndani ya mwezi mmoja, DC, Mkurugenzi mlikuwepo na mradi ukapokelewa kuna nini hapo”
Jamaa kila akilala na Mwanamke anapata mapacha watatu “Naunguza mayai”