Kutoka Bunda leo September 05 2018 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli ameagiza uchunguzi ufanyike haraka ili haki ipatikane ya kwa bibi Nyasasi Masige aliyetoa madai ya kunyang’anywa kiwanja chake.
.
Video hapa chini ni Rais Magufuli akimkabidhi Bibi Masige kiasi cha fedha taslimu Tsh 5,00,000/= (Laki Tano) ili zimsaidie kwa matumizi mengineyo mara baada ya kusikiliza kero yake ya madai ya kiwanja.
Rais Magufuli ametisha kagawa laki tano tano, ataka Lukuvi azirudishe (+video)
Leave a comment
Leave a comment