Leo January 21, 2019 Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Prof. Mussa Assad tayari amewasili katika ofisi za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dodoma ili kuhojiwa na Kamati ya Maadili, Haki na Madaraka ya Bunge.
Prof. Assad ameitikia wito wa Spika wa Bunge Job Ndugai aliyemtaka afike mbele ya kamati hiyo kufuatia kauli yake aliyoitoa kwa Bunge kuwa ni dhaifu.
BILIONI 1.5 ZA WANANCHI ZAGONGANISHA VICHWA “TUMESINGIZIWA NA WAZIRI”