Gavana wa Nairobi Mike Sonko akiwa amevaa kiaskari amefanya ziara ya kushtukiza katika Hospitali ya Wazazi ya Pumwani ambapo amebaini Maiti 12 za watoto zikiwa zimefichwa kwenye maboksi ndani ya mifuko ya plastiki.
Kufuatia sakata hilo, Madaktari waandamanizi 3 wa Hospitali hiyo wamesimamishwa kazi.
Aidha, Wanawake wanaosubiri kujifungua wamekutwa wakiwa katika hali ya uchungu kwa saa zaidi ya 10 bila ya kupatiwa huduma.
Msigwa, Sugu walivyolia rafu “Wamebaka angalau CCM ya nyuma walitumia akili kuiba”
Mbaroni kwa kukutwa na Salfeti la nyuki kituo cha kupiga kura