Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Jokate Megelo ameanza ziara kwenye Vijiji na Vitongoji ndani ya Wilaya ya Kisarawe lengo ni kuzindua na kutembelea miradi ya maendeleo kupitia Idara ya Elimu Msingi na Sekondari kwa Mwaka wa fedha 2018/2019 lakini pia kukutana na kuongea na wananchi.