Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji na Mbunge wa Jimbo la Pangani Jumaa Aweso amemuomba Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Isack Kamwelwe kutatua kitendawili cha ujenzi wa barabara ya Tanga, Pangani, Bagamoyo kwa kiwango cha lami kama ujenzi huo upo au haupo.
“HALI NI MBAYA NI KINYAA WANAFUNZI WANAJISAIDIA NJE” MWALIMU AKIPOKEA MSAADA TOKA KWA MWASELELA