December 21, 2018 Umoja wa Vyama vya Siasa visivyo na Wabunge pamoja na CUF wakiongozwa na Mwenyekiti wa TLP Augustino Mrema wamekutana na Waandishi wa habari Dodoma na kutoa kauli kuhusu baadhi ya Vyama vya Upinzani vinavyokosoa juhudi za Serikali inayoongozwa na Rais Magufuli wakati Rais anatimiza yale waliyokuwa wakililia siku zote.
MWANZO MWISHO KIJANA ALIVYOJIRUSHA ROCK CITY MALL MWANZA NA KUFARIKI