Mama wa mtoto Rackeem Shango ambaye aliejizolea umaarufu baada ya kulia kutokana na timu yake ya Simba SC kufungwa amegoma kuvua jezi ya timu hiyo kwa muda wa siku nne tangu apewe jezi hiyo na viongozi wa timu hiyo jambo lililomlazimu mama yake kumnunulia jezi nyingine kwa ajili ya kubadilisha.
Kwa hivi sasa amevaa jezi ya Tanzania ili kuisapoti timu ya Taifa na ameahidi mechi hiyo ikiisha anarudia jezi yake ya Simba.
UFA KATIKA GHOROFA LA NHC MBEYA, MENEJA AMETOA RIPOTI BAADA YA TETEMEKO KULIPITIA