Baada ya agizo la Mkuu wa Mkoa wa DSM, Paul Makonda kumtaka mchekeshaji Idris Sultan kufika kituo chchote cha Polisi, kufuatia msanii huyo kuhariri picha ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli na kuichapisha kwenye mitandao ya kijamiii.
AyoTV na millardayo.com imezungumza na Mwanasheria Jebra Kambole ambaye amefafanua kwa mujibu wa Sheria za nchi.