Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza Jumanne Muliro amefunguka juu ya kusambaa kwa uvumi wa kukutwa vichwa vya watoto kituo cha polisi na kusema taarifa hizo hazikuwa za kweli.
Muliro “kuna watu walianzisha taarifa kuwa kuna watoto walikuwa wamekufa na vichwa vyao kukutwa kituo cha polisi uvumi ule uilisababisha watu zaidi ya 500 kukusanyika kuja kituo cha polisi lakini hawakuelewa.”
“Pamoja na huduma za kiusalama tunazotoa ilitulazimu tutumie mabomu ya machozi ili kuwatawanya kwa sababu waligoma kuondoka lakini pia tunamshikiria watu kadhaa kwa ajili ya mahojiano ya tukio hilo“ Muliro
Waziri Mkuu “Fedha hizi msiziguse zina matatizo, zitawaunguza vidole vyenu”