January 29, 2019 Mkutano wa kumi na nne wa Bunge la kumi na moja umeanza Dodoma ambapo Wabunge wanajadili Muswada wa Sheria ya marekebisho ya Sheria ya Vyama vya Siasa wa mwaka 2018 ambapo Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Jenista Mhagama aliwasilisha hotuba kwa niaba ya Serikali.