Ni June 24, 2016 Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amechukua hatua ya kuzisimamisha na kusitisha Kampuni ya Inshinomya Co. LTD na kuyasimamisha Makampuni mengine ya kujenga barabara ya Germinex construction LTD, Del Monte (T) Ltd na Skol Building Contraction.
Kutokana na kujenga barabara chini ya kiwango na kuagiza makampuni hayo kutopewa tenda yeyote kwenye Mkoa wa Dar es salaam mpaka Mkuu wa Mkoa atakapojiridhisha na utendaji wa kazi kwa Makampuni hayo.
ULIIKOSA HII YA PAUL MAKONDA KUHUSU WAHAMIAJI ITAZAME HII VIDEO HAPA
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE