Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Brig. Jeneral Mstaafu Emmanuel Maganga amelaani vitendo vya mauaji vinavyoendelea katika Wilaya ya Uvinza Mkoani Kigoma baada ya tukio la mwanamke mmoja kumuua kimya kimya Mume wake na Watoto wawili kwa sababu zinazotajwa kuwa ni wivu wa kimapenzi.