Leo January 24, 2018 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amekutana na wafanyabiashara wa magari wa jiji la Dar es Salaama na kuwapa miezi tisa kuhakikisha wamehama katika maeneo mbalimbali ya jiji hilo na kuhamia Kigamboni kwenye eneo lililotengwa kwa ajili ya biashara ya magari.
“Ikifika mwezi wa tisa ambao ni mbali kweli lakini ni karibu sana, mimi akili yangu nilikuwa nafikiri niwape mpaka mwezi wa sita, ila mwezi wa tisa ukiisha maanake October Mosi mwaka huu nisikute ‘Show room’ katikati ya DSM” -RC Makonda
“Upande wa umiliki wa ardhi la kwanza tunalolifanya ni kuwaomba wamiliki waliokuwepo, anipe miaka mitatu bure, hakuna mtu atakayelipishwa pesa yoyote kwa miaka mitatu”– RC Makonda
VIDEO: “ASANTENI MLIOTUMA VIDEO” TUMEWAKAMATA MADEREVA