Wataalamu wa mambo ukimpiga busu Mpenzi wako sio tu mnabadilishana bakteria na majamaji ila pia unamuachia DNA ambazo zitadumu kwenye mdomo wake na mate yake kwa dakika 60, hivyo kama mabusu yalihusika kwa Mwanamke aliebakwa basi mate yake yanaweza kutumika kumnasa Mbakaji kwa kulinganisha DNA zako wawili.
Tafiti hii imefanywa na Natalia Kamodyova na wenzake kutoka Camenius University, Slovakia ambapo wamenukuliwa wakisema “tumefanya hii ili isaidie wakati wa uchunguzi wa kesi mbalimbali na kuwasaidia hata wale wanaombakiwa kesi zisizowahusu”
Watafiti hao wanaendelea kuchunguza kama vipimo vya DNA hizo zinaweza kukaa mdomoni mwa Mpenzi kwa zaidi ya saa moja baada ya kubusu na kama zinaweza kubaki kwa Mtu aliyefariki.
KUTANA NA MZEE ERNESTO ANAYEISHI NA WAKE 16 “SABA KATI YAO NI MTU NA MDOGO WAKE”