Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amefanya ziara ya kushtukiza katika Hospitali ya Mkoa Dodoma ambapo amesikiliza kero mbalimbali za Wagonjwa walilazwa.