Mahakama Kuu ya Tanzania, November 30, 2018 inatarajia kutoa uamuzi kama itengue uamuzi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ama kukubali kuhusu kufutiwa dhamana kwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na Mbunge wa Tarime Mjini Esther Matiko.
Hii hapa ni video Mbowe na Matio wakitoka nje ya Mahakama kuelekea Gerezani.
POLISI WALIVYOWADHIBITI WANACHAMA WA CHADEMA MAHAKAMA KUU, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA