Ni June 14, 2022 Spika wa Bunge wa Jamhuri ya Tanzania, Dr Tulia Ackson amemtambulisha Mkuu wa Majeshi, Venance Salvatory Mabeyo pamoja na kusema kupokea barua yake ya kustaafu.
Unaweza ukabonyeza shangwe alilopata Mkuu wa Majeshi Mabeyo baada ya kutajwa na Spika wa Bunge.