Waziri wa Madini Dotto Biteko amesema Serikali imepokea itafanyia kazi taarifa ya kamati teule iliyoundwa na Mkuu wa Mkoa wa Manyara Alexander Mnyeti ya kushughulikia migogoro ya mipaka na mitobozano katika eneo la wachimbaji madini Mkoani humo.
Akizungumza na baada ya kupokea ripoti hiyo amesema Mkuu wa Mkoa anapaswa kuwa na marafiki wa aina zote bila kupangiwa ilimradi haki ipatikane ambapo amesema wamefungia leseni za uchimbaji zaidi ya elfu kumi na mbili kwa kutokulipa ada ya leseni.