Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri ametumia siku tatu kutatua kitendawili cha ununuzi wa zao la Pamba uliokuwa ukisuasua katika baadhi ya maeneo hali iliyopelekea pamba kujaa nje maghara ambapo mnunuzi OLAM Company Ltd aliyekuwa akinunua pamba hiyo kukiuka mkataba wa manunuzi waliokubaliana na Serikali.
Akiwa katika kikao cha kujua hatima ya Kampuni hiyo Mwanri amesema “Hapa uzungumzi na wahuni hasara yoyote itakayotokea wewe utahusishwa nayo mnataka niingie Kingi siingii”RC MWANRI