Leo September 25, 2019 Mwalimu mmoja Wilayani Itilima Mkoani Simiyu amepigwa na wananchi wenye hasira kali baada ya kufumaniwa na na Mke mtu usiku.
Mkuu wa Wilaya hiyo Benson Kirangi amesema kwamba tukio hilo ni la kweli na baada ya kupata taarifa hizo alituma kikosi cha askari kumuokoa.
FAMILIA INALALA NA NYOKA 14 WAKALI WENYE MENO, MTOTO ANAWAOGESHA “BORA JOKA KULIKO MWANANGU”