Mwamvua Juma ni binti wa miaka 19 aliyezaliwa na ulemavu uliosababisha kushindwa kujongea mpaka apate msaada wa mtu, sasa hawezi kutoka nje kwa zaidi ya miezi miwili kutokana na mama yake kupata uvimbe tumboni unaomzuia kufanyakazi nzito.
“Huwa najutia lakini namshukru Mungu kwa yote na Mama anahangaika ana uvimbe tumboni unaotakiwa utolewe, sitasahau nilivyopigwa na Baba mlezi mpaka kuumia mguu kwa kosa la kujisaidia” Mwamvua
MUSSA HUSSEIN ATANGAZA HABARI NJEMA KWA WATU WA NGUVU WALIOIBUKA WASHINDI WA TATU MZUKA