Kutoka kwenye ukurasa wa Twitter wa Meya wa Ubungo Boniface Jacob kumeandikwa yafuatayo >>> “Askari wenye uniform za JWTZ watatu na mmoja wao amevalia kiraia na ana video camera,”
“Wameiweka familia chini ya ulinzi, wanapekua kila mahali vyumbani bila mimi mwenye nyumba,polisi, Mjumbe kuwepo…naelekea huko muda huu” hayo ndio yaliyoandikwa kwenye ukurasa wa Twitter wa Meya Boniface Jacob.
Tunaendelea kufatilia ili kufahamu zaidi.
‘Niko harusini ila nimeguswa na msiba wa Masogange nimeamua Kuja’