Jeshi la Polisi Dodoma limeandaa operesheni maalumu ya kuwasaka wahalifu wanaojipanga kufanya vitendo vya kihalifu ikiwemo uchomaji wa matairi wakati wa sherehe za kukaribisha mwaka mpya 2018.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma Gilles Muroto ametoa kauli hiyo leo baada ya kukutana na wenyeviti wa mitaa wa mkoani humo na kuwaagiza kila mmoja kuhakikisha usalama katika eneo lake.
BREAKING: Mambo ya kufahamu DSM ”NO DISKO TOTO”, kama unatarajia kufyatua fataki ikufikie