Jumla ya Wizara nane zimekutana na kufanya kikao kwa siku moja Mkoani Kigoma ili kupata adhima ya vitongoji vya Kabukuyungu na Mahasa katika Kijiji cha Kalelani Kata ya Kariya vilivyo ndani ya Hifadhi ya Mahale Wilayani Uvinza juu ya wananchi kuendelea kuweka makazi katika maeneo hayo.
Mwenyekiti wa jopo la Mawaziri wa Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Ardhi, Mazingira, Maliasili na Utalii, TAMISEMI, Maji na Mipango Miji pamoja na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Uvinza Waziri William Rukuvi amewataka watu wanaojihusisha na kuwaondoa au kuwasumbua watu wa Vitongoji hivyo kuacha mara moja na kwamba makazi yao yataendelea kuwepo hadi maamuzi ya Rais yatakapofanyika.
Mtoto aliyemuimbia Kagere apewe raha azungumza, haipendi Yanga Mama afunguka