Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) Nagenjwa Kaboyoka akifafanua madia ya upotevu wa Trilioni 1.5 katika mapato na makusanyo ya Serikali katika mfuko mkuu kwa mwaka wa fedha 2016/17 ambapo amesema kuwa hakuna tofauti ya makusanyo na mapato kama ilivyodaiwa na baadhi ya Wabunge akiwemo Mbunge wa Mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe wakati akichambua ripoti ya mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali (CAG).