Hii ni kutoka nchini Marekani ambapo Dj na Producer maarufu nchini humo Dj Khaled amempongeza mtoto wake wa kwanza wa kiume Asahd kwa kubahatika kuwa balozi wa brand ya viatu vya Jordans pamoja na nguo akiwa na umri wa mwaka mmoja.
Asahd akiwa na umri mdogo ameweza kumilikishwa baadhi ya vitu vya baba yake ikiwemo Record Label ya “We The Best” na kufikia hadi kumiliki ofisi yake mwenyewe katika studio hiyo akiwa bado mdogo.
ALICHOANDIKA DIAMOND KWA MARA YA KWANZA BAADA YA KUACHWA NA ZARI